JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Siku ya Vijana Duniani yaambatana na Maadhimisho ya Taasisi ya Amo Faundation

Na Magrethy Katengu–Jamuhuri Media Dar es salaam Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu kazi vijana ajira na wenye ulemavu Patrobas Katambi amesema Ofisi ya Waziri Mkuu inaendelea na programu ya kuwatambua makundi ya vijana ili kutengeza sera zinazojibu…

Wizara tatu zajadili hali ya uzalishaji chumvi nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Wizara ya Mipango na Uwekezaji pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekutana kujadili namna ya kuondoa changamoto katika sekta ndogo ya chumvi nchini. Wizara hizo zimekutana jijini Dodoma…

Tanzania, China wasaini makubaliano ya biashara ya asali

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania na China zimesaini saini ya makubaliano ya biashara ya kuuza Asali ya Tanzania nchini China ikiwa ni fursa kukuza uchumi baina ya nchi hizo mbili . Akizungumza Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe…

TASAF wanufaika 18, 403 zahitimu na kujiondoa TASAF Pwani – Roselyn

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani KAYA za wanufaika 18,403 wa mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) Mkoani Pwani, wamehitimu na kujiondoa katika mpango huo kufikia Juni 2024. Akitoa taarifa kikao cha mwaka cha utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya maskini…

TAKUKURU yaokoa mabilioni ya fedha za miradi Tabora

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Tabora imeokoa zaidi ya sh bil 3za miradi ya ujenzi wa stendi kuu ya mabasi na soko la kisasa katika halmashauri ya manispaa Tabora zilizotaka kuibiwa…

Fundi magari ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumlawiti mtoto wake

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Katika kipindi cha Julai hadi agost 2024 watuhumiwa saba katika mkoa wa Pwani, wamehukumiwa miaka 30 jela na wengine kufungwa maisha kwa makosa ya kulawiti, kubaka. Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo alieleza,…