Year: 2024
Rais Dk Mwinyi ashuhudia karafuu za magendo bandarini Wete
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika ziara ya kushtukiza na kushuhudia karafuu za magendo tani 9.5 zenye thamani ya shilingi milioni 140 zilizotaka kusafirishwa kwa…
Mwanafunzi awapiga risasi watu 6 na kujiua mwenyewe, Marekani
Mwanafunzi mmoja amewapiga risasi watu sita, na kuuwa mmoja katika shule ya sekondari katika jimbo la Iowa nchini Marekani na kisha kujitoa uhai. Tukio hilo limetokea siku ya kwanza wanafunzi waliporudi shule baada ya mapumziko ya likizo, Polisi wamesema. Watano…
LATRA yatangaza ruti mpya 10 za daladala Dar
Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini (LATRA), imetangaza ruti mpya 10 za daladala zitakazoanzia katika Kituo kipya cha Mwenge, jijini Da es salaam LATRA imeoredhesha ruti hizo kuwa ni, Mwenge kwenda Mbande Kisewe kupitia Barabara ya Mandela, Kilungule. ย Mwenge kwenda Buza…
Dk Biteko apongeza juhudi za Rais Dk Samia kustawisha demokrasia nchini
๐ Asema amekuwa mfano Kitaifa na Kimataifa ๐ Apongeza Baraza la Vyama vya Siasa kukusanya maoni Miswada ya Sheria za Uchaguzi ๐ Awasisitiza kwenda bungeni kutoa maoni ya miswada Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na…
Maafisa aelimu watakiwa kuhakikisha miradi ya elimu inakamilika kwa wakati
Na. Asila Twaha, OR โ TAMISEMI Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Bw. Adolf Ndunguru amewataka Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri kuhakikisha wanafuatilia miradi ya elimu na kuikamilisha ifikapo tarehe Januari 15, 2024….