Year: 2024
Zari, Dowei Care kutoa msaada Muhimbili
Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya Dowei Care Technology ambao ni wazalishaji wa Taulo za kike na za watoto (SOFTCARE) wanatarajia kutoa msaada wa bidhaa zao katika Hospital ya Taifa ya Muhimbuli katika kitengo cha huduma za…
Bilioni 48.9 zatumika ujenzi jengo la DAWASA Yetu, kukamilika Juni
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma imekagua na kufurahishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la DAWASA Yetu lililogharimu shilingi bilioni 48.9 na linatarajiwa kukamilika Juni mwaka huu….
Waziri Silaa awaahidi wakulima waliochukuliwa ardhi Monduli kupata neema
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewahakikishia wakulima na wafugaji zaidi ya 120 kutoka Kijiji cha Loksale Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha kuwa malalamiko yao ya kuchukuliwa ardhi ekari 47,000 na serikali…
TANAPA: Watalii 1.5 watembelea Hifadhi za Taifa
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) limesema kwa mwaka huu wa fedha 2023/2024 katika kipindi cha Julai 2023 hadi Machi 19, 2024 idadi ya watalii imeongezeka na kufikia 1,514,726. Aidha…
‘Watu binafsi wamechimba visima na kuwatoza wananchi gharama kubwa’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Watu binafsi wamebainika kuchimba visima vya maji ambavyo vinatoa huduma kwa gharama ambazo hazibebeki kwa wananchi,ambapo imeibua changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma hiyo katika Jiji la Dar es salaam. Ameyasema hayo leo…
DC Simiyu : Hatutowavumilia wanaokaidi bei elekezi ya sukari
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, Simon Simalenga amesema kuwa wafanyabiashara katika wilaya hiyo wameendelea kukaidi agizo la serikali la kufuata bei elekezi ya sukari na kuwauzia wananchi bei kubwa. Simalenga amesema kuwa bei ya sukari ambayo wafanyabiashara wanawauzia…