Year: 2024
Doweicare yatoa msaada wa taulo za kike Muhimbili zenye thamani ya mil 35/-
Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili imekabidhiwa msaada wa taulo za watoto wachanga aina ya Softcare zenye thamani ya TZS. 35Mil kutoka kampuni ya DOWEICARE ili kusaidia watoto waliozaliwa na watakaozaliwa Hospitali ya Taifa Muhimbili…
Urusi yafanya mashambulizi makali ya makombora Ukraine
Rais wa Urusi Volodymyr Zelensky amesema Urusi imefanya mashambulizi makali ya usiku kucha kwa kutumia zaidi ya makombora 90 na droni 60 aina ya Shahed zilizotengenezwa na Iran. Rais wa Urusi Volodymyr Zelensky amesema leo kuwa Urusi imefanya mashambulizi makali…
Spika wa Bunge la Afrika Kusini ajisalimisha kwa Polisi
Spika wa bunge la Afrika Kusini amejisalimisha kuwa Polisi huku uchunguzi wa ufisadi ukiendelea dhidi yake. Nosiviwe Mapisa-Nqakula alijisalimisha kwa Polisi ya Kati ya Pretoria leo asubuhi na anatarajiwa kufikishwa mahakamani baadaye mchana, ripoti za vyombo vya habari vya ndani…
Mkurugenzi Sumbawanga kortini kwa kesi ya uhujumu uchumi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi, Catherine Mashalla ameunganishwa na washtakiwa wengine saba katika kesi ya uhujumu uchumi na kufanya idadi ya washitakiwa katika kesi hiyo kufikia 14. Mashalla ambaye kwa sasa…
Nchi za SADC zajipanga kumaliza changamoto za kiusalama Mashariki mwa DRC na Jimbo la Cabo Delgado
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo anaongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa ngazi ya Makatibu Wakuu wa Utatu wa Asasi mbili za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)…
Waziri Mavunde aagiza kufutwa kwa leseni na maombi 2648
Jumla ya eneo la ekari milioni 13 zinashikiliwa na watu 6-Maeneo mengi kugawiwa vikundi vya wachimbaji wadogo na wawekezaji wenye uwezo wa kuchimba-Wamiliki wa Leseni wadaiwa bilioni 36 kwa kushindwa kulipa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Madini Anthony…