JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Majaliwa azitaka halmashauri kuweka mpango wa ufuatiliaji na tathmini ya matumizi ya ardhi

Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Lindi WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezielekeza Halmashauri zote zinazotekeleza mradi wa Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Vijiji kuandaa mpango wa ufuatiliaji na tathmini ili kupima ufanisi wa utekelezaji wa mradi huo. Ametoa maelekezo hayo leo…

Bila ya amani, hakuna mtangamano na maendeleo

Nchi Wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimetakiwa kufanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa nchi zao zinakuwa na amani, Umoja na utulivu na kutafuta ufumbuzi wa migogoro kwa kutumia njia zao wenyewe. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Mkutano…

Mbaroni kwa kumuua mkewe na kumzika chumbani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Jeshi la Polisi mkoani Morogoro  linamshikilia mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la  Mohamedi Omari, mkazi wa kijiji cha Kimamba A, wilayani  Kilosa  kwa tuhuma za  kumuua mkewe  na kumzika ndani ya chumba wanacholala. Tukio hilo la…

Walioleta mtandao wa Starlink wakamatwa

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kuingiza vifaa vya mawasiliano ya intaneti nchini bila kufuata utaratibu wa kisheria vyenye jina la STARLINK KIT/DEVICE….

Naibu Waziri Pinda : Msiwahudumie wananchi kwa hali zao

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Riangwa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda amewataka watendaji wa sekta ya ardhi nchini kuacha kuwahudumia wananchi kwa kuangalia hali zao na badala yake watende haki katika kutoa huduma. Mhe…

Dk Biteko aagiza Wizara ya Maji kuhakikisha wananchi wanapata maji sagi ma salama

📌 Asisitiza Wananchi kutoa maoni utunzaji wa mazingira katika Dira 2050 📌 Ataka Bodi za Mabonde ya Maji/NEMC kudhibiti uchafuzi wa mazingira 📌 Uvunaji wa Maji ya Mvua wasisitizwa ngazi ya Kaya, Taasisi hadi Taifa 📌 Amtaja Rais Dkt. Samia…