Year: 2024
Rais Samia awapongeza vijana waliotembea Butiama – Mwanza
RAIS Samia Suluhu Hassan amewapongeza umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM (UVCCM) kwa kufanya matembezi ya pamoja ya vijana zaidi ya 2000 waliotoka Butiama na kutembea hadi jijini Mwanza katika kuenzi kuadhimishamiaka 25ya kumbukizi ya Baba wa Taifa,…
Kamati tendaji mradi wa SOFF yakutana kuidhinisha mpango kazi utekelezaji mradi
Kamati Tendaji ya Utekelezaji wa Mradi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuimarisha Uangazi wa Hali ya Hewa (SOFF) imekutana kwa mara kwanza mkoani Morogoro, ikiwa na lengo la kupitia na kuidhinisha nyaraka muhimu za kuanza rasmi utekelezaji wa…
Korea Kaskazini yaiweka Korea Kusini kama ‘nchi adui’
Korea Kaskazini imesema kuanzia sasa katiba yake inaiweka Korea Kusini kama “nchi adui,” ikiwa ni mara ya kwanza Pyongyang kuthibitisha mabadiliko ya kisheria yaliyoagizwa na kiongozi Kim Jong Un mapema mwaka huu. Nchi hiyo ililipua barabara na reli zilizokuwa zikiunganisha…
Biashara ya kaboni motisha kuhifadhi mazingira
Katibu Mkuu ofisi ya Makamu wa Rais Cyprian Luhemeja amesema Kaboni sio biashara bali ni Utunzaji wa Mazingira wenye motisha kwa mtu ili aendelee kuhifadhi na kutunza mazingira. Ameyasema hayo mkoani Morogoro alipotembelea Kituo cha Kitaifa cha Kuratibu Kaboni (…
Huduma upakuaji mafuta kuboreshwa bandarini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) itaendelea kuboresha huduma za upakuaji mafuta ili kupunguza muda wa meli kusubiri bandarini na hivyo kuboresha upatikanaji wa bidhaa hiyo kwa uhakika Akizungumza Oktoba 16,…
Watakiwa kufanya utafiti chanzo mimea vamizi Ngorongoro
na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Arusha WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana amekitaka Chuo cha Misitu Olmotonyi kilichopo jijini Arusha kufanya utafiti katika Hifadhi ya Ngorongoro kubaini chanzo cha mimea vamizi. Dk Chana ametoa agizo hilo leo Oktoba…