JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Serikaki yatambua umuhimu wa wananchi kutoa maoni masuala ya kitaifa

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Januari Makamba imesema inatambua umuhimu wa wananchi kushiriki katika maamuzi yanayohusu masuala ya kitaifa na kimataifa ikiwemo utoaji wa maoni kuhusu marekebisho…

Rais Samia aridhia utekelezaji mradi wa maji ziwa Victoria kufikishwa wilayani Ushetu

Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Kahama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameridhia kuanza kwa utekelezaji wa kufikisha mradi wa maji wa ziwa Victoria katika Halmashauri ya Ushetu. Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameyasema hayo leo…

Wagonjwa kipindupindu waongezeka Shinyanga, viongozi waweka mikakati

Na Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Wagonjwa wa kipindupindu wameongezeka mkoani Shinyanga kutoka wagonjwa watano na kufikia 18 baada ya wataalamu kufanya vipimo vya kuthibitisha kwa wagonjwa wa kuhara na kutapika 41 mkoani hapa. Hayo ameyasema leo Januari 9, 2024 Mkuu…

Rais Dk Mwinyi adhamiria kumaliza changamoto katika elimu

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakaribia kumaliza ujenzi wa madarasa 5,000 kuondoa zamu mbili kwa wanafunzi nchi nzima na kubakisha zamu moja. Rais Mwinyi amesema leo Januari 9,2024 akifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliopo…

Meli za mizigo zaongezeka bandarini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imesema kutokana na maboresho na mikakati inayofanywa na Serikali kumefanikisha kuongezeka maradufu kwa meli za mizigo katika bandari mbalimbali zilizopo nchini hususan katika Bandari ya Dar…