Year: 2024
Watoto watatu wa famili mbili wafariki kwa kudondokewa na ukuta Shinyanga
Na Suzy Butondo, Jamhuri Media, Shinyanga Watoto watatu wa familia mbili tofauti wamefariki dunia katika kijiji cha Zongomela kata ya Zongomela katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga baada ya kuangukiwa na kuta za nyumba waliyokuwemo kutokana na mvua zilizokuwa ziendelea…
Chalamila akabidhi wabunge 10 vifaa tiba vya mil.691/- vilivyotolewa na Serikali
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewakabidhi wabunge wa majimbo 10 ya Mkoa wa Dar es Salaam vifaa tiba vya gharama ya shilingi Milioni 691 vilivyotolewa na serikali kwa ajili…
TANESCO: Upatikanaji umeme Mtwara, Lindi kuwa wa historia
Na Cresensia Kapinga , JamhuriMedia, Tunduru Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamhanga amesema kuwa tayari wamemaliza kufunga mitambo ya kupooza umeme kama sehemu ya kuboresha umeme katika maeneo ya mikoa ya Mtwara na Lindi ambayo umeme…
Ziara ya Dk Biteko mkoani Mtwara yachangia mitambo iliyosimama kuanza kuzalisha umeme
📌Kituo cha Afya Msimbati chaanza kujengwa 📌Wananchi Songosongo nao hawajasahaulika 📌RC Mtwara amshukuru Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Biteko…
Makombora ya Urusi lawajeruhi 11 wakiwemo waandishi wa habari Uturuki
Shambulizi kombora la Urusi lililolenga hoteli moja katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine wa Kharkiv limejeruhi takriban watu 11, wakiwemo waandishi wa habari wa Uturuki waliokuwa wakiripoti vita hivyo, maafisa wa eneo hilo walisema. Urusi imefanya mashambulizi ya…
TANESCO yaimarisha hali ya upatikanaji umeme Tunduru, Nanyumbu na Masasi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tunduru Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limejidhatiti katika kuhakikisha huduma ya umeme inaimarika kwa wilaya za Tunduru, Nanyumbu na Masasi. Amesema hayo Mkurungenzi Mtendaji wa TANESCO Gissima Nyamo-Hanga tarehe 10 Januari 2024 wakati alipotembelea Kituo kipya cha…