Year: 2024
Serikali yatangaza kiama kwa watumishi wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI imesema itaanza kuwashughulikia watumishi wake wanaoshukiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kueleza kuwa tabia hiyo ni kinyume na maadili ya kitanzania na kwamba inavuruga mfumo mzima wa maadili ya utumishi wa Umma….
Rais Samia mgeni rasmi Jublee ya miaka 50 ya Kanisa la AICT
Na Magrethy Katengu, JamuhuriMediaDar es Salaam Kanisa la Africa Inland Church Tanzania AICT Pastorate ya Magomeni Dayosisi ya Pwani Washirika wa mwili wa Kristo wanayo furaha kusherekea ibada ya kumrudishia Mungu shukrani,heshima,sifa na utukufu, Oktoba 27, 2024 Jublee ya miaka…
Fahamu mabaraza ya vijana, ushawishi wake
Na Hassan Msellem , JamhuriMedia, Pemba Mabaraza ya vijana yalianza mwaka 1948 nchini Urusi. Lengo la kuanzishwa kwake ni kuwaunganisha vijana wa maeneo mbalimbali ili kutambuana na kuwa wazalendo wa taifa lao hasa pale inapobidi kulitetea dhidi ya adui, ikizingatiwa…
Arusha, Urusi zakubaliana kushirikiana kwenye kukuza sekta ya utalii nchini
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amekutana na kuzungumza na Balozi wa Urusi nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan na kukubaliana kuendelea kushirikiana katika kukuza Utalii wa Arusha na kuvutia wawekezaji wengi zaidi raia wa Urusi kuja kuwekeza mkoani…
Afande asomewa mashtaka hospitali – Madeleka
WAKILI Peter Madeleka ameiomba mahakama ya Wilaya ya Dodoma kumsomea mashtaka mtuhumiwa Afande Fatma Kigondo, ya kubaka kwa kundi, akiwa hospitalini alipolazwa akipatiwa matibabu. Wakili Madeleka ameyasema hayo baada ya Wakili wa Afande Kigondo anayeitwa Sedric Mbunda kueleza kuwa mtuhumiwa…
Jenerali Mabeyo amlilia Mbuge
Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo amemuelezea marehemu Meja Jenerali Mstaafu, Charles Mbuge kama miongoni mwa vijana wake watiifu ambao amewahi kufanya nao kazi. Jenerali Mabeyo ameyasema hayo kwenye halfa ya kuuaga kijeshi mwili wa Mbuge iliyofanyika Lugalo jijini…