Year: 2024
Tanzania yajifunza maandalizi ya AFCON 2027 kutoka Ivory Coast
Na Brown Jonas – WUSM, Ivory Coast Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Laurent Pokou uliopo jijini San Pedro nchini Ivory Coast ili kujifunza na kuona namna ambavyo nchi…
Wizara ya Ardhi yapongezwa maboresho ya kanuni za madalali
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo imeipongeza Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika Marekebisho ya Kanuni za Uteuzi, Malipo na Nidhamu kwa Madalali wa Baraza na Wasambaza Nyaraka za mwaka…
Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wake
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato MKAZI wa kijiji cha Katale Buzirayombo Wilayani Chato mkoani Geita,Hassan Ramadhan (29) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mapenzi na mwanaye ya kike mwenye umri wa miaka 12…
Mvua za El Nino ni sababu ya ongezeko la mamba Kasahunga na Mayolo – DC Bunda
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Bunda Mkuu wa Wilaya ya Bunda Dkt. Vicent Anney amesema mvua za El Nino zimekuwa sababu kubwa ya ongezeko la wanyamapori aina ya mamba ambao wamekuwa wakitoka maeneo yao ya asili na kwenda maeneo ya wananchi…
Watoto 10 kufanyiwa upasuaji Zambia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Watoto 10 wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wanatarajia kufanyiwa upasuaji wa moyo katika kambi maalumu ya upasuaji inayofanyika katika Hospitali ya Taifa ya Moyo ya nchini Zambia. Kambi hiyo ya upasuaji ya siku…
Bunge laipongeza Serikali kwa usimamizi mzuri wa kukabiliana na maafa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeipongeza Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu kwa Usimamizi mzuri wa kukabiliana na Maafa nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa…