Year: 2024
Bashe ataja sababu ya upungufu wa sukari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hali uzalishaji wa sukari katika viwanda saba nchini imeshuka hadi kufikia tani 1,000 kwa siku kutokana na mvua za El-nino zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Amesema mvua hizo zimeathiri hali…
Mvua ya upepo yaezua nyumba 20, makanisa Njombe
NJOMBE, Mvua iliyoambatana na upepo mkali jioni ya tarehe 19/1/2024 imesababisha kaya zaidi ya 20 kukosa makazi kwa kuezua bati la nyumba na zingine kubomoka katika kata ya Luwumbu, Lupalilo na Mang’oto Taasisi kadhaa pia zimekumbwa na maafa hayo ikiwemo…
Bashungwa aagiza daraja la Nzali – Chamwino kujengwa haraka
na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi, Aisha Amour, kutafuta haraka mkandarasi wa kujenga daraja la Nzali, lililopo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma mara tu baada ya hatua za usanifu…
NAM iendeleze ushirikiano katika masuala ya ulinzi – Majaliwa
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesisitiza Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) wahakikishe wanashiriki katika kila tukio la umoja huo pamoja na kuendeleza ushirikiano katika masuala ya ulinzi na usalama pamoja na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi….