JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

MAB yafanya ziara katika viwanda vya dawa nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wizara ya Afya kwa TMDA (MAB), wamefanya ziara katika viwanda vinavyozalisha bidhaa za dawa na vifaa tiba vilivyoko katika mikoa ya Dar es Salaam na pwani kwa…

Maporomoko ya maji ni kivutio kizuri Hifadhi ya Kitulo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kitulo Watanzania wamehamasishwa kujenga tabia ya kutembelea vivutio mbalimbali vilivyopo nchini vikiwamo vya Hifadhi ya Taifa Kitulo. Hifadhi hiyo iliyopo kwenye mikoa mwili; Njombe katika Wilaya ya Makete na Mkoa wa Mbeya katika Wilaya za Rungwe…

Biteko : Kutokutatua kero za wananchi kuna kera Rais Samia

📌Ataka Viongozi Serikalini kutatua kero za wananchi na si kusikiliza tu 📌Aagiza viongozi kuhakikisha wanafunzi wote wanaripoti mashuleni kabla ya Machi 📌Awasha umeme Kijiji cha Magodi na Kigandini wilayani Mkinga 📌Apongeza REA kwa ufanisi wa usambazaji umeme mkoani Tanga Naibu…

Uzazi wa mpango ni uwekezaji wenye faida endelevu

Na Stella Aron, JamhuriMedia Uzazi wa mpango ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania, huokoa maisha kwa kusaidia kupunguza magonjwa ya kina mama na vifo, na kuongeza viwango vya kuishi kwa watoto wachanga na watoto. Serikali ya Tanzania inatambua hitaji la…

Matokeo ya kidato cha nne 2023 haya hapa

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA),  limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 13 hadi 30, 2023. Matokeo hayo yametangazwa leo Januari 25, 2024 na Katibu Mtendaji wa NECTA Dk Said Mohammed https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/csee/CSEE%202023.htm