JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

TARURA Kagera yafungua barabara mpya Km. 826

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Kagera imefanikiwa kufungua  mtandao wa barabara mpya wa Km. 826  katika kipindi cha miaka mitatu kutokana na ongezeko la bajeti. Hayo yamebainishwa na Meneja wa…

BOT yawataka wanafunzi kuchangamkia fursa za kiuchumi kupitia sekta za kibenki

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Gavana wa Benki kuu nchini (BOT), Emmanuel Tutuba amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa za kiuchimi kupitia sekta za kibenki ikiwemo nafasi za masomo na maswala ya kibenki, zinazotolewa na taasisi za kifedha nchini…

Bima ya afya kwa wote mwarobaini utekelezaji sera ya wazee

….……… Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa kuanza kwa utekelezaji wa bima ya Afya kwa wote itakuwa suluhu ya kudumu ya utekelezaji wa Sera ya wazee kupata matibabu bure katika kila Kituo cha Afya nchini. Dkt. Mollel…

Serikali yataja sababu ya kufuta leseni maduka ya fedha

Peter Haule na Josephine Majura, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa ilibatilisha leseni za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yaliyokutwa na makosa mbalimbali yakiwemo ya kujihusisha na uhamishaji wa fedha nje ya nchi bila kuwa na leseni wala kibali cha…

Waziri Mkuu azindua mbio za mwenge wa uhuru 2024

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuepuka matumizi ya Dawa za Kulevya kwani yanaharibu nguvukazi ya Taifa hasa vijana ambao wanategemewa kuongoza kufanya shughuli za uzailishaji na kuharakisha maendeleo Ametoa wito huo leo (Jumanne Aprili 2, 2024) katika…

Serikaki yabadili muundo wa NEMC kuwa Mamlaka ya Usimamizi Mazingira

Serikali imeanza kufanya marekebisho ya kubadili muundo wa Baraza la Taifa na Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira (NEMA). Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema…