Year: 2024
Mbarawa apokea vichwa vitano vya treni ya umeme, TRC yajiweka sawa
Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa amepokea seti ya kwanza ya vichwa vitano vya treni ya umeme EMU,maarufu mchongoko na mabehewa matatu ya abiria vyenye thamani ya Dola za Marekani mil 190. Ameyasema hayo…
Bilionea Laizer anyan’ganywa njia ya mgodi Mererani, wachimbaji 580 wakosa ajira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mererani Rais Samia Suluhu Hassan ameombwa kuingilia kati, mgogoro wa kufungwa njia ya mgodi wa bilionea Saniniu Laizer ambao mwaka 2020 ulivunja rekodi ya kutoa madini makubwa zaidi ya Tanzanite tangu kugunduliwa madini hayo miaka zaidi…
Shambulio la ndege isiyokuwa na rubani yaua 12 Sudan
Shambulio la ndege isiyokuwa na rubani liliua watu 12 na kujeruhi wengine 30 Jumanne katika mji wa kaskazini mashariki mwa Sudan wa Atbara, ambapo kufikia sasa, kulikuwa kumeepuka vita vya kikatili, madaktari na mashahidi wameliambia shirika la habari la AFP….
Wajumbe wawasili kwenye kikao maalumu cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Viongozi mbalimbali Wajumbe wakiwasili tayari kwa Kikao Maalum Cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kitakachoongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 3 Aprili, 2024 Jijini Dar es salaam.