Year: 2024
Ajeruhiwa kwa mapanga akidaiwa kuwa ni Popobawa Kisarawe
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe Mkazi wa kijiji cha Vikumburu Wilayani Kisarawe ,mkoani Pwani, Daud Juma, amejeruhiwa na mapanga katika sehemu mbalimbali za tumbo lake na kikundi cha vijana walioambatana na Mwenyekiti wa kijiji hicho Ramadhan Chaka wakidai anaingilia wanawake…
Mgonjwa aliyepandikizwa figo ya nguruwe atoka hospitali
Mwanaume wa kwanza kupandikizwa figo iliyobadilishwa vinasaba kutoka kwa nguruwe ameruhusiwa kutoka hospitalini. Mtu huyo mwenye umri wa miaka 62 aliruhusiwa kwenda nyumbani, wiki mbili baada ya upasuaji wa dharura katika Hospitali Kuu ya Massachusetts (MGH). Upandikizaji wa viungo kutoka…
Futari iliyoandaliwa na Biden yasusiwa
Mualiko wa futari wa Biden kusherehekea mwezi Mtukufu wa Ramadhan umesusiwa, huku vikundi vya Waislamu vikisusia na kuandaa maandamano ya kupinga uungaji mkono wa Biden kwa kuzingirwa kwa Gaza na vita vya kikatili vya Israeli dhidi ya Gaza. Ikulu ya…
Majaliwa : Mapato ya ndani yafikia trilioni 17
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kati ya Julai, 2023 na Januari, 2024 Serikali imefanikiwa kukusanya sh. trilioni 17.1 ambazo ni sawa na asilimia 95.9 ya lengo la kukusanya sh. trilioni 17.9. Ametoa kauli hiyo leo (Jumatano, Aprili 3, 2024), wakati…
Dkt.Tax ajivunia ulinzi na usalama miaka 60 ya Muungano
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt .Stargomena Tax amesema suala la amani na utulivu vilivyopo nchini ni moja ya mafanikio ya kazi iliyofanywa na Wizara yake kupitia sekta ya ulinzi katika kipindi…
Majaiwa : Sh.Trilioni 10 zatrumika ujenzi wa SGR
Serikali imetumia kiasi cha shilingi trilioni 10.69 kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa kwa kiwango cha kimataifa yenye urefu wa kilometa 1,219 kuanzia Dar es Saalam hadi Mwanza. Hayo yamesemwa jana Bungeni na Waziri Mkuu Kassim Majalwa wakati akisoma…