Year: 2024
Ushawishi wa Tanzania Duniani unategemeana na sera ya Mambo ya Nje inayorekebishwa
Na Mwandishi Maalum Imeelezwa kuwa ili Tanzania iweze kufikia malengo ya Maendeleo iliyojiwekea, lazima iwe na Sera Bora ya Mambo ya Nje inayozingatia maoni na matakwa ya makundi yote ya wadau nchini. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi…
Mchengerwa : Imarisheni ulinzi wa vifaa vipya vya TEHAMA shuleni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha wanaimarisha ulinzi na kufikisha kwenye vituo teule vifaa vya TEHAMA vilivyogawiwa kwa vituo zaidi ya…
Usambazaji dawa kwa kutumia ndege zisizokuwa na rubaini kufanyiwa majaribio
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imekamilisha kuingiza vituo vyote kwenye mfumo wa kuhifadhi taarifa zote za vituo kuanzia ngazi ya Zahanati hadi Taifa ili kuufanyia majaribio na pia kutazama gharama za…
Dk Mwinyi akutana na sekretarieti za CCM Mikoa na Wilaya Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na sekretarieti ya kamati maalum, sekretarieti za Mikoa na Wilaya CCM Zanzibar katika kikao chake cha kwanza…
Rais Samia kumjengea nyumba mtoto Alhaji
na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ikiwa ni siku moja tangu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda kupokea changamoto ya kijana Alhaji Yahya Abdallah ambaye anafanya biashara ya kuuza ndizi ili kumsaidia mama…
Waziri Jafo: Biashara ya Kaboni kuiingizia pato la taifa trilioni 2.4
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali inatarajia kupata wastani wa shilingi trilioni 2.4 kutokana na biashara ya kaboni ambazo zitachangia kwa kiasi kikubwa kwenye pato…