Year: 2024
Senyamule kuipeleka Dodoma kwenye soko la utalii wa kimataifa
Na Dotto Kwilasa, JakhuriMedia, Dodoma OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kupitia Wadau wa Utalii imejipanga kuiweka Dodoma kwenye ramani ya utalii kupitia mkakati wake wa miaka 10 wa kuipeleka Dodoma kwenye soko la utalii la kimataifa ili kuiongezea…
Serikali kuendelea kuwakumbuka viongozi waliotangulia
Na Rahma Khamisi Maelezo Waziri wa Ujenzi ,Mawasiliano na Uchukuzi Dkt Khalid Salum Muhammed amesema Serikali inatambua michango ya Viongozi walioshiriki katika kuikomboa nchi ambao wameshatangulia mbele ya haki. Ameyasema hayo huko Migombani Wilaya ya Mjini katika dua ya kumuombea aliyekuwa…
Mtendaji Mkuu TARURA aagiza usanifu upya daraja la Bibi Titi Mohammed -Mohoro
na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Rufiji Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff ameagiza timu ya wataalamu wa TARURA Makao Makuu na ya Mkoa wa Pwani kufanya mapitio ya usanifu wa daraja la…
Dk Mpango afuturisha nakundi maalum Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa futari kwa makundi maalum Zanzibar wakiwemo Wazee wa Kituo cha Wazee Sebleni na Watoto kutoka kituo cha kulea watoto yatima cha Mazizini Unguja Zanzibar. Akizungumza mara baada…
Simba, Yanga zatupwa nje Ligi ya Mabigwa Afrika
Mabingwa wa Tanzania, Yanga SC wametupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Mamelodi Sundowns kwa penalti 3-2 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 usiku huu Uwanja wa Loftus Versfeld Jijini Pretoria, Afrika Kusini. Katika mchezo…
Serikali yataka wanafunzi wasio na michango kuendelea na masomo
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imewaelekeza walimu wa shule za msingi nchini kutowarudisha nyumbani wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kuwalipia michango mbalimbali na badala yake waachwe kuendelea na masomo. Hayo yameelezwa leo Aprili 5,2024 Jijini…