JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Dk Mpango atoa maelekezo kwa wizara za ardhi na ulinzi

Na Mwandish Wetu, JamhuriMedia, Arusha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdori Mpango ameielekeza Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na ile ya Ulinzi kwenda eneo la Oldonyosambu lilipo wilaya ya Arumeru mkoa…

Rais Mwinyi amlilia Lowassa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2005 – 2008 Mhe. Edward Ngoyai Lowassa kilichotokea…

Eng.Sanga awafunda watumishi wa ardhi nchini

●Awataka kuwa wasuluhishi wa migogoro na sio chanzo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amewaasa watumishi wa Sekta ya Ardhi kote Nchini kujiepusha na tabia ya kuwa chanzo…

Bashungwa aipa mwezi mmoja kamati ya uwezeshaji wa wazawa sekta

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Kamati inayoandaa Mkakati wa kuongeza ushiriki wa Wazawa katika Miradi ya Ujenzi kukamilisha maboresho ya taarifa hiyo ili iweze kubeba maudhui yote ya Sekta ya Ujenzi na kuweza…

Ndugai ashauri wananchi kuepuka uharibifu wa mazingira

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mbunge wa Jimbo la Kongwa na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai amewaasa Wananchi kufanya kazi kwa bidii na kutuza mazingira kama jitihada za kupambana na Umaskini. Amesema…

Serikali kushirikiana na TZLPGA ifikapo 2033, asilimia 80 ya Watanazania kuachana na mkaa

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Mamlaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema itatoa ushirikiano na Chama cha Wafanyabiashara wa Gesi ya Kupikia Majumbani kwenye Nishati Safi Endelevu (TZLPGA) kimesema kitahakikisha ifikapo…