Year: 2024
Nchi wanachama EAPP zakubaliana kuipa msukumo miradi ya umeme
📌 Dkt. Biteko asema suala la kuwapa nishati wananchi sio hiari 📌 Asisitiza miradi ya usafirishaji umeme EAPP kukamilika kwa wakati 📌 Vyanzo vipya vya umeme kuendelezwa kukidhi mahitaji Na Mwandishi Maalum Baraza la Mawaziri wanaohusika na mfumo wa pamoja…
Tanzania yatoa msimamo wake WTO
Tanzania ikiwa ni mmoja wa waanzilishi wa Shirika la Biashara Dumiani (WTO) inaunga mkono mfumo wa biashara unaotegemea sheria ambazo zinatoa ulinzi na fursa kwa Nchi wanachama wote haswa Nchi zinazoendelea katika kuhakikisha maendeleo endelevu duniani yanapatikana Vilevile, Tanzania inaunga…
Waziri Chana aongoza maelfu kuaga miili ya watu 11 waliofariki kwenye ajali lori Arusha
Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt. Pindi Chana ameongoza maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wa Arusha kuaga na kutoa heshima ya mwisho kwa Miili ya marehemu waliofariki katika ajali mbaya iliyohusisha lori na magari madogo…
Yanga : Hatuendi Misri kununua kanzu, tunataka kuongoza kundi
Na Isri Mohamed Baada ya kumaliza kibarua chao dhidi ya CR Belouizdad kwa kuwapa kichapo cha mabao manne kwa nunge yaliyowafikisha hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika, klabu ya Yanga inatarajia kusafiri leo kuelekea nchini Misri kwa…
Serikali kujenga viwanda vya kuchakata samaki Kilwa, Fungurefu
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)imesaini Mkataba wa upembuzi yakinifu wa ununuzi wa meli za uvuvi wa bahari kuu na ujenzi wa viwanda viwili vya kuchakata samaki Kilwa na Fungurefu utakaogharimu jumla ya…
Kamati ya Mawaziri wanne wa kisekta yakoshwa na utatuzi migogoro ya ardhi Ruvuma
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Kamati ya Mawaziri Wanane wa Kisekta inayoongozwa na Mwenyekiti wake Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa Jerry Silaa imeupongeza uongozi wa Mkoa wa Ruvuma kwa kufanikiwa kutatua migogoro 15 ya ardhi kwenye vijiji…