JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Waziri Mkuu ashiriki mazishi ya Dk Ndungulile

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 03, 2024 ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile yaliyofanyika eneo la  Mwongozo, Kigamboni Jijini Dar es Salaam….

Askari watatu wa hifadhi za misitu mbaroni kwa kuua mtoto

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora JESHI la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu saba wakiwemo askari watatu wa Hifadhi za Misitu (TFS) na mgambo wanne baada ya kusababisha kifo cha mtoto mwenye umri wa miaka 4 na kujeruhi mtu mmoja kwa…

Milioni 300 kufikisha umeme shule ya Lucas Mhina Monduli

đź“ŚSerikali kufikisha umeme vitongoji vilivyobaki đź“ŚAsisitiza Serikali inatambua mchango wa wadau wa maendeleo đź“ŤMonduli Arusha Serikali imeahidi kufikisha umeme katika Shule ya Msingi ya Lucas Mhina ili wanafunzi na wanakijiji wapate nishati ya umeme itakayowawezesha kuendelea na shughuli za kiuchumi…

Mkutano wa kikanda wa matumizi bora ya nishati waanza kwa mafanikio Arusha

đź“ŚMagari yanayotumia umeme yawa kivutio đź“ŚWadau waonesha vifaa vinavyotumia umeme kidogo kwa gharama ndogo* đź“ŚDkt. Mataragio asema Matumizi Bora ya Nishati yanalenga kupunguza uzalishaji hewa ya ukaa Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati unaojumuisha Viongozi na Wadau mbalimbali…

Mawakili kesi ya wanandoa Dar wakwamisha kesi kuendelea

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAWAKILI wa utetezi katika kesi ya tuhuma za kujeruhi na kutoa lugha ya matusi inayomkabili wanandoa Bharat Nathwan (57) na Sangita Bharat (54) wamendelea kuchelewesha kesi hiyo kwa kutokufika mahakamani bila kuwasilisha vielelezo…

KEDA (T) Co. Ltd yagusa jamii kujenga daraja Mbezi Msorwa – Shungubweni

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Kiwanda cha KEDA (T) Ceramic Co. Ltd kimekamilisha ujenzi wa daraja katika Mto Msorwa, barabara ya Mbezi-Msorwa-Shungubweni-Boza, lililogharimu milioni 150 ili kuunganisha maeneo hayo. Mradi huo umetokana na mpango wa Kiwanda cha KEDA wa kurudisha…