JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Prof. Lipumba atoa ya moyoni kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es salaam Ikiwa imesalia siku kadhaa kumaliza mwaka 2024 Chama Cha Wananchi (CUF) kimemshauri Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha uchaguzi mkuu unaoarajiwa kufanyika mwakani 2025 uwe wa uhuru na wa haki ili kuendelea kulinda na…

‘Imarisheni ulinzi na usalama kwa watoto, ndugu wanaongoza kuwafanyia ukatili’

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima amewashauri wazazi/ walezi kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto kwani ndugu na jamaa wa karibu ndio wanaongoza kuwafanyia vitendo vya ukatili watoto. Kwa mujibu wa mtandao wake…

Watu 120 wafariki katika ajali ya ndege Korea Kusini

Ndege iliyokuwa imebeba abiria 181 imeanguka katika uwanja wa ndege kusini magharibi mwa Korea Kusini. Ajali hiyo ilitokea muda mfupi baada ya 09:00 saa za eneo – 00:00 GMT – wakati ilipokuwa ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa…

Ajali yaua sita wakiwemo walimu wanne

Watu Sita wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, Leo Desemba 28, 2024. Waliopoteza maisha katika ajali hiyo iliyohusisha gari ndogo aina ya Prado ( T 647 CVR ) ni walimu wanne…

Diwani CHADEMA ashikiliwa kwa tuhuma za kuua kwa kumpiga risasi mkulima

ALIYEKUWA Diwani wa Kata ya Bendera wilayani Same mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mwaka 2015-2020, Michael Mcharo (52), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma la mauaji ya Edson Shangari (59), mkulima kwa kumpiga…

Waziri Ulega aagiza miradi ya BRT ikamilike kabla ya msimu wa mvua za masika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewaagiza wakandarasi wanaojenga barabara za Mradi wa Mabasi Yanayoenda Haraka (BRT) mkoani Dar es Salaam kuhakikisha ujenzi unakamilika kabla ya msimu wa mvua za masika mapema mwakani ili…