JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wakili Malando ajitoa kesi ya mirathi Nzega, adai kuwepo mgongano wa maslahi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Nzega Wakili Edward Malando aliyekuwa akimwakilisha Salma Mohammed kwenye shauri la ndugu wanaovutana kwenye mirathi ya Zena Jalakhan amejitoa kwenye shauri hilo. Wakili Malando ametaja sababu za kujitoa kwenye kesi hiyo kuwa ni mgongano wa maslahi.Hata…

Milima ya Udzungwa inavyogeuzwa bustani ya furaha, amani

Na Alex Kazenga, JamhuriMedia, Morogoro Hifadhi ya Taifa ya Safu za Milima ya Udzungwa ipo kwenye hatua za awali za ujenzi wa njia ndefu ya utalii ipitayo juu ya miti maarufu ‘canopy walk away’ itakayosababisha ongezeko la watalii wa ndani…

Serikali kuyaendeleza makazi ya Mwalimu Nyerere

Serikali imedhamiria kuyafanya makazi ya hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yaliyoko kijiji cha Mwitongo, wilayani Butiama mkoani Mara kuwa kituo cha utalii. Hayo yalisemwa jana (Jumanne, Februari 27, 2024) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akizungumza na…

Ving’ora na taa za vimulimuli marufuku kama huna kibali maalum – Polisi

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama barabarani limewataka wale wote waliofunga ving’ora na taa za vimulimuli kwenye magari na pikipiki zao pasipo kuwa na kibali maalumu kutoa mara moja kabla ya ukaguzi haujaanza…

CCM Zanzibar yamkaribisha babu duni kurejea nyumbani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar kimetoa wito kwa Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Juma Duni Haji, kurejea Chama cha Mapinduzi ili kuendelea kulinda heshima yake kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kupigania Demokrasia Zanzibar na…

Muhimbili yavuna kipande cha ubavu na kumtengenezea mgonjwa taya jipya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika mwendelezo wa utoaji huduma za kibingwa na ubingwa bobezi unaotokana na kujenga uwezo wa watalaam wazawa chini ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, Hospitali ya Taifa…