JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Warioba : Mwinyi aliingia madarakani hali iliwa mbaya

Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba amesema changamoto zilizopo kwa sasa ni ndogo kulinganisha na kipindi Rais Ali Hassan Mwinyi aliposhika madaraka. Akizungumza wakati wa kuuaga mwili wa kiongozi huyo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Warioba amesema kipindi Mwinyi anaingia…

‘Marufuku kuondoa wagonjwa NHIF wodini’

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amepiga marufuku vituo binafsi kuwaondoa wodini wagonjwa ambao ni wanachama wa NHIF, mara baada ya saa 48 kupita tangu kutolewa kwa taarifa ya APHFTA. Amesema kufanya hivyo ni kuvunja sheria ya madaktari, madaktari wa meno…

Wanafunzi 17 wafariki kwa ugonjwa uti wa mgongo Nigeria

Wanafunzi 17 kutoka shule tano katika Jimbo la Yobe, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria wamekufa kufuatia mlipuko wa homa ya uti wa mgongo, mamlaka inathibitisha. Miongoni mwa wanafunzi hao, wapo wa shule za msingi na sekondari za bweni, kamishna wa elimu wa…

TAKUKURU kuziburuza mahakamani AMCOS daiwa

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (TAKUKURU) wilayani Chato mkoani Geita, imetishia kuviburuza mahakamani vyama vya msingi (Amcos) vinavyodaiwa kupora hela za Chama Kikuu cha ushirika cha “Chato Co-operative Union (CCU). Aidha imeagiza kupewa nyaraka…

TEF yamlilia Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Rais (mstaafu) wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia Februari 29, 2024 katika Hospitali ya Mzena, Kijitonyama, jijini Dar es Salaam alikokuwa anapatiwa matibabu….