JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Anne Makinda kuwatunuku wahitimu 264 HKMU

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAHITIMU 264 wa Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU) wanatarajiwa kutunukiwa shahada zao wakiwemo 115 wa binadamu wakati wa mahafali ya 22 siku ya Jumamosi. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar…

REA yaupamba mkutano wa kikanda wa Nishati Bora 2024

📌Matumizi bora ya nishati ya kupikia kupewa kipaumbele 📌Elimu ya utunzaji wa miundombinu ya umeme yatolewa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unashiriki katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 unaofanyika jijini Arusha ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa…

Serikali za mitaa hivi, uchaguzi mkuu je?

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Novemba 27, 2024 Tanzania ilifanya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi asilimia 99 na zaidi. Nimejaribu kufuatilia nini kimetokea? Nimebaki na maswali mengi. Yapo maeneo unatajiwa unaona harufu…

Umeme ni ajenda kubwa ya Serikali, tutafikisha umeme kwenye maeneo yote – Kapinga

📌 Akagua utekelezaji wa miradi ya umeme wilayani Monduli 📌 Asema fedha za miradi ya umeme zitasimamiwa ipasavyo kutekeleza ajenda ya umeme kwa wote 📌 Ampongeza Dkt.Samia kwa hatua kubwa iliyopigwa umeme vijijini Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga,…

Rais Korea Kusini atangaza hali ya hatari, jeshi lasimamisha shughuli za bunge

Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, ametangaza hali ya hatari muda mfupi uliopita, katika hotuba ya usiku wa manane. Amesema hatua hiyo ni muhimu ili kuilinda nchi kutokana na vikundi vya kikomunisti vya Korea Kaskazini na kuwaondoa watu wanaoipinga…