Year: 2024
Naibu Waziri Pinda awatuliza wananchi mgogoro wa mashamba Babati
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda amewatuliza wananchi wa vijiji vya Kimara na Kiru Dick vilivyopo halmashauri ya Babati mkoa wa Manyara kufuatia mgogoro wao na wawekezaji wa mashamba….
Bruno na Singida FG ndio basi tena
Na Isri Mohamed Kiungo wa Brazil anayekipiga klabu ya Singida Fountain Gate, Bruno Barroso amethibitisha kuachana na klabu hiyo kwa makubaliano ya pande zote mbili kuanzia leo Machi 4, 2024. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bruno amepost barua yenye ujumbe…
Bashungwa atoa masaa matatu kurejeshwa mawasiliano ya barabara Mtwara – Masasi yaliyokatika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Masasi Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameelekeza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara iliyokatika eneo la Maili Mbili katika barabara ya Mtwara-Mingoyo-Masasi ndani ya masaa matatu mara baada ya Daraja kusombwa na maji…
Bwawa la Nyerere mkombozi, Rais Samia atimiza ndoto ya Magufuli kwa vitendo
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Rufiji Mgawo wa umeme uliolisumbua taifa kwa muda mrefu sasa unafikia ukomo baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kuzalisha umeme kwa kuingiza kwenye gridi ya taifa megawati 235 mwezi huu, JAMHURI linathibitisha. Kuanzia Febaruari 22,…
Haiti yatangaza hali ya hatari
Serikali ya Haiti imetangaza hali ya hatari na amri ya kutotoka nje usiku. Watu hawataruhusiwa kutoka nje kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa 11 alfajiri ili kurejesha udhibiti wa nchi baada ya gereza kuu kuvamiwa na genge la…