JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wanawake Namtumbo wapigwa jeki milioni 287

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Namtumbo  Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake (WEF)  umetoa  mkopo zaidi ya shilingi milioni 287  tangu mwaka 2015 hadi 2024 Kwa wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na , Mkuu wa Wilaya…

Trump ataka mdahalo wa uchaguzi na Biden

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amemtaka Rais Joe Biden kuandaa mdahalo wa wao wawili kufuatia Trump kuonekana kupata ushindi katika kura za jumla za mchujo, maarufu kama Super Tuesday, zilizofanyika wiki hii. Rais wa zamani wa Marekani Donald…

Serikali yatoa sh.mil.982 kukarabati barabara zilizoharibiwa na mvua Kagera

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Serikali imetoa Sh milioni 982 kwa Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) ili kukarabati barabara zilizoharibiwa na mvua za El-Nino zilizoanza kunyesha Septemba 2023 hadi sasa katika baadhi ya maeneo mkoani Kagera. Akiwasilisha…

Mnapompandisha Ayoub, msimshushe Manula

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia BAADA ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba vs Tanzania Prison uliomalizika kwa mnyama kufungwa mabao 2 kwa 1 akiwa nyumbani, mjadala mkubwa ulioibuka ni kiwango cha golikipa Aishi Manula ambaye alianza golini akibezwa…

Singida FG yatimua benchi lote la ufundi

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Bodi na Menejimenti ya Klabu ya Singida Fountain Gate FC imefikia uamuzi wa kuvunja benchi lote la ufundi lililokuwa likiongozwa na Kocha Mkuu Thabo Senong, kufuatia mfufulizo wa matokeo yasiyoridhisha ya klabu hiyo. Mechi tano za…

Dube aaga rasmi Azam FC

Na Isri Mohamed, JamhuriaMedia, Dar Mshambuliaji Prince Mpumelelo Dube raia wa Zimbabwe, kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza rasmi kuachana na klabu ya Azam FC, baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne. Hivi karibuni Azam FC walitoa taarifa ya…