JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Suala la matumizi bora ya nishati liwe kwenye mipango yetu ya Serikali – Dk Biteko

📌Nia ni kuhakikisha Bara la Afrika linatumia nishati kwa ufanisi na kupunguza upotevu wa umeme 📌Afungua Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati (REEC 2024) 📌Azindua Mkakati wa kwanza wa Kitaifa wa Matumizi Bora ya Nishati 📌 UNDP, WB…

Majaliwa : Rais Dk Samia aagiza fedha za Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru zielekezwe kutoa huduma za kijamii

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa Mwaka 2024 yafanyike katika ngazi ya mikoa na Fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya Maadhimisho hayo…

Wananchi wilayani Arumeru wachangamkia majiko ya gesi ya ruzuku

📌Waipongeza Serikali kwa kuja na mpango huo Wananchi wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha wameipongeza Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa mradi wa usambazaji na uuzwaji wa majiko ya gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku ya…

Polisi yawanasa wanne kwa tuhuma za jaribio la kumteka Tarimo

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata kundi la wahalifu wanane wanaotuhumiwa kula njama kwa pamoja na baadae kufanya tukio la kumteka mfanyabiashara, Deogratius Tarimo. Novemba 11, 2024 eneo…

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi awavisha nishani askari JWTZ Tanga

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali Majenerali, Maafisa na Askari wa…

Tanzania yapendekeza miradi ya mazingira

TANZANIA imekabidhi mapendekezo ya maandiko ya mradi 3, kwa ajili ya kuombea fedha kutoka katika Mfuko wa Hasara na Upotevu unaosababishwa na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi. Hayo yamejiri wakati Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Christina…