Year: 2024
Rais Samia mbeba ajenda ya nishati safi ya kupikia
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amewaahidi watanzania kuibeba ajenda ya nishati safi ya kupikia kwa kutafuta fedha zaidi kukuza nishati ili kuitunza misitu na kuhifadhi mazingira . Dk. Samia amezungumza…
Wadau waitaka sheria afya ya uzazi
Na Irene Mark, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAKATI duani ikiadhimisha Siku ya Wanawake, Tanzania imetakiwa kutengeneza sheria itakayompa mwanamke nguvu ya kuamua kuhusu masuala ya afya ya uzazi. Hali ilivyo sasa, inaelezwa kwamba nusu ya wanawake hapa nchini, hawafanyi uamuzi…
RC Mtanda awapongeza askari wanawake Kanda Maalum
Na Helena Magabe, JamhuriMedia, Tarime Mkuu wa Mkoa wa Mara Said Mtanda amewapongeza askari wanawake toka Kanda maalumu Tarime/Rorya kwa kuheshimisha Siku ya Wanawake. Akizungumza katika maadhimisho ambayo kimkoa yamefanyikia katika Kata ya Nyamswa wilayani Bunda amesema hawajawahi kushindwa kusherehesha….
Wanawake Kideleko wapanda miti bwawa la Kwamaizi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Handeni Ikiwa leo ni maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani, wanawake wa Kata ya Kideleko katika Halmashauri ya Mji wa Handeni wametumia nafasi hiyo kupanda miti na kufanya usafi katika bwawa la maji la Kwamaizi katika…
Benki ya Mwalimu Commercial yazindua ‘Tunu’
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ajenda ya kuinua wanawake kiuchumi, Benki ya Mwalimu Commercial imezindua bidhaa mpya ya ‘Tunu’ kwa ajili ya Wanawake na Vijana . Hayo yamebainishwa jijini…