JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Iran yasisitiza ahadi ya kuunga mkono Palestina

Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei alisisitiza tena ahadi ya kuunga mkono Wapalestina kufuatia mauaji ya Yahya Sinwar, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas.q Katika taarifa yake juu ya X, Khamenei alisema “kupoteza kwa Yahya Sinwar ni chungu…

SADC lamuunga mkono Rais wa IPU Dk Tulia

JUKWAA la Wabunge wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) limemuunga mkono Rais wa Umoja wa Mabunge ya Muungano (IPU), Dk Tulia Ackson kufuatia mijadala ya hivi karibuni kuhusu mkutano wake na Rais wa Urusi.Jukwaa la Wabunge, Roger Mancienne,…

Saccos ya Tume ya Madini yapata hati ya kuridhisha

COASCO yawafunda wanachama Na Vicky Kimaro, Dodoma TUME ya Madini Saccos imepata hati inayoridhisha katika ukaguzi wa Hesabu za Chama zinazoishia Desemba 31, 2023 baada ya kufanyiwa ukaguzi na Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) Tanzania…

Jeshi la Polisi latoa tahadhari kuelekea mechi ya Simba na Yanga

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema litachukua tahadhari zote za kiusalama kabla, wakati na baada ya mchezo Usalama utakuwa wa kiwango cha juu siku ya mchezo wa mpira wa miguu kati…

Kayoko akabidhiwa Simba vs Yanga

Na Isri Mohamed BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa refa atakayesimamia sheria 17 za mchezo wa soka kwenye Derby ya Kariakoo itakayopigwa Jumamosi, Oktoba 19, 2024 katika dimba la Benjamin Mkapa….

Wabunge wa EALA watakiwa kuweka maslahi ya umma mbele – Balozi Kombo

Wabunge wa Tanzania kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wamesisitizwa kuyabeba majukumu waliyopewa kwa uzito unaostahili, huku wakiweka mbele maslahi ya umma wakati wanatekeleza majukumu yao. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…