Year: 2024
Rais Samia akutana na marais Museven, Ruto
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wageni wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais William Ruto wa Kenya walipowasili Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024. Kwenye mazungumzo yao wamezungumzia masuala…
Ugonjwa figo washika nafasi ya nane duniani kusababisha vifo
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Inakadiriwa kuwa watu milioni 850 duniani wanasumbuliwa na magonjwa sugu ya figo na kati yao watu milioni 3.1 hufariki dunia kila mwaka na kuufanya ugonjwa huo kushika nafasi ya nane ulimwenguni kwa kusababisha vifo….
Safari ya kuendeleza vyanzo vipya vya umeme yashika kasi
๐ Dkt.Biteko azindua utekelezaji mradi mkubwa wa umeme Jua Kishapu ๐ Ni wa megawati 150 ๐ TANESCO, REA watakiwa kupelekea umeme wananchi kwa haraka ๐Wakandarasi SUMA-JKT, TONTAN waonywa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo…
Hospitali zote za rufaa za mikoa zitumie mifumo ya TEHAMA
Na. WAF – Mwanza Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali zote za Rufaa za Mikoa nchini kuanza kutumia mifumo ya TEHAMA ili kuboresha utoaji wa huduma za Afya kwa wananchi. Waziri Ummy amesema hayo leo Machi 14, 2024 wakati…
Makinda awataka waandishi wa habari kuyatumia matokeo ya Sensa kusaidia uboreshaji huduma
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Anne Makinda amewataka waandishi wa habari kutumia matokeo ya sensa kuandika habari zitakazosaidia katika uboreshaji wa huduma mbalimbali za jamii. Amebainisha hayo jijini…
Maambukizi ya Malaria yamepungua kwa asilimia 8.1 Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amesema kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Malaria nchini kimepungua na kufikia asilimia 8.1 kwa mwaka 2023 kutoka asilimia 15 kwa mwaka 2015. Dkt. Jingu amesema hayo…