JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Sonko, msaidizi wake waachiwa huru

Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Senegal Ousmane Sonko, ameachiliwa huru siku chache kabla ya uchaguzi wa rais nchini humo uliopangwa kufanyika Machi 24. Bwana Sonko na msaidizi wake Bassirou Diomaye Faye, walikuwa katika gereza la Cap Manuel na kulakiwa na…

Yanga Vs Mamelod, vita ya kukata na shoka

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali dhidi ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa watafanya maandalizi bora kupata matokeo chanya. Ikumbukwe kwamba Yanga…

Chuo cha Bahari chandaa kongamano la kutafsiri dhana ya uchumi wa buluu

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), kimeandaa kongamano la tatu la mwaka la kimataifa, litakalozungumzia dhana nzima ya uchumi wa buluu. Akizungumza na waandishi wa habari mkuu wa chuo hicho Dkt Tumaini…

Arusha ipo tayari kwa michezo ya Mei Mosi, 2024

Na Eleuteri Mangi, JamhuriMedia, Arusha Maandalizi ya michuano ya michezo ya Mei Mosi 2024 yanaendelea jijini Arusha ikiwemo kuweka vizuri mazingira ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid tayari kwa maadhimisho ya Sherehe  hizo. Hayo yamesemwa na Kaimu Katibu Tawala Mkoa…

Serikali yapongeza Dira ya miaka 50 CBE

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imekitaka Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kuweka mikakati ya kujiimarisha kiteknolojia, uvumbuzi na ubunifu ili kuendana na mahitaji ya soko la ajira ambayo yanakwenda kwa kasi. Wito huo ulitolewa leo jijini…

NMB yatoa vifaa vya ujenzi kwa shule sita Nyasa

 Katikaati kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kusini Faraja Ngingo akimkabidhi vifaa vya ujenzi Katibu Tawala waaa Wilaya ya Nyasa Salim Ismalil katika hafla ya kutoa vifaa hivyo iliyofanyika katika shule ya msingi Nangombo ambapo NMB imetoa…