Year: 2024
Dk Biteko : Mwalimu ni nyota inayoangaza hivyo tuwaheshimishe
Na MwandishinWetu, JamhuriMedia, Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mwalimu ni nyota inayoangaza na hivyo kama Taifa tuwaheshimishe walimu wa Tanzania na Kuinua taaluma ya Ualimu ambayo imekuwa chanzo cha maarifa kwa Watoto…
Waziri Mkuu ajiandikisha kijijini kwake Nandagala
Na Mwandishi Wetu, Ruangwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Mpigakura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu. Waziri Mkuu ambaye alifuatana na mkewe Mama Mary Majaliwa,…
Mbio za Kilimanjaro kuiweka Tanza kwenye ramani
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amesema Mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon ni chachu katika kukuza utalii na kuiweka Tanzania katika ramani ya riadha na utalii Kimataifa. Chana ametoa kauli hiyo…
Viongozi wa dini Tanga washauri kuliombea taifa
Na Mwandishi Wetu, JanhuriMedia, Tanga Viongozi wa dini mkoani Tanga wameishauri serikali kuweka siku maalum ya kuliombea taifa wakati huu kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa ili taifa liendelee kubaki salama. Ombi hilo wamelitoa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa…
Ismail Jussa aanza ziara Chaani Kaskazini Unguja
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa leo Oktoba 19 ameanza ziara katika Jimbo la Chaani Mkoa wa Kaskazini Unguja. Ziara hiyo ni mpango wa kutembelea majimbo 50 kupitia mkakati maalumu wa kuweka mazingira bora kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.
Hakimu aeleza kwanini Fatma Kigondo ‘Afande’ kutoshtakiwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imekataa ombi la kusaini malalamiko yaliyotolewa na Paul Kisabo dhidi ya Fatma Kigondo, maarufu kama Afande, baada ya kubaini kasoro kadhaa katika malalamiko hayo. Uamuzi huu ulitolewa jana na unamaanisha…