JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Kaya 77 zenye watu 463 zaagwa Ngorongoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ngorongoro Kaya 77 zenye watu 463 na mifugo 1,408 waliohama kwa hiari kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Msomera wameagwa leo katika ofisi za mamlaka ya hifadhi hiyo. Ofisa Uhifadhi Mkuu, Flora Assey ambaye ni meneja mradi…

Watumishi Ofisi ya Waziri Mkuu watakiwa kutekeleza majukumu yao kwa ubunifu

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia,Dodoma Waziri Wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera ,Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama ametoa wito kwa Baraza la Wafanyakaziwa Ofisi hiyo,kupitia taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2023/24 na makadirio ya bajeti ya mwaka 2024/25…

Mhandisi Sanga :Msifanyie ‘lamination’ hati za ardhi

Na Munir Shemweta, JamhuriMerdia, Chalinze Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Hati miliki za Ardhi zinazotolewa kwa wamiliki wa ardhi nchini haziruhusiwi kuwekewa ‘’Lamination’’. Mhandisi Sanga ametoa kauli hiyo tarehe 18 Machi…

Miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia na kuimarika kwa mapambano dhidi ya rushwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rushwa ni tatizo la kidunia lenye madhara makubwa kwa mtu, jamii, nchi na mataifa kwa ujumla. Rushwa imetumika kupoka haki za watu kwa kumnyanganya haki yeye aliyeistahili na kumpa yule asiyeistahili kwa sababu…

Sh trilioni 6 zaboresha sekta ya afya

Waziri wa Afya ,Ummy Mwalimu amesema serikali ya awamu ya sita imetoa kiasi cha Sh trilioni 6.722 ndani ya miaka mitatu ili kuboresha sekta ya afya hivyo sekta ya afya inakwenda mbele na namba inawabeba. Mambo makubwa 11 katika kipindi…

Rufaa ya mbunge Gekul kusikilizwa Machi 21

Na Isri Mohamed Mahakama kuu Kanda ya Manyara, imepanga kusikiliza rufaa ya tuhuma zinazomkabili Mbunge wa Babati mjini Paulina Gekul, za kumshambulia Hashimu Ally, Machi 21,2024, Chini ya jaji wa mahakama hiyo Devotha Kamzora. Jaji wa Mahakama kuu Kanda ya…