Year: 2024
Miaka mitatu ya Rais Samia ilivyoleta usawa kwenye uwanja wa siasa
Na Dk Ruben Lumbagala, JamhuriMedia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametimiza miaka mitatu ya uongozi wake tangu alipoapishwa rasmi Machi 19, 2021 kuwa Rais wa Tanzania kufuatia kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli kilichotokea Machi…
Serikali yaongeza Tahasusi (Combination) mpya 49
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeongeza Tahasusi (Combination) mpya 49, kutoka 16 zilizokuwepo awali hadi kufikia Tahasusi 65. Tahasusi hizo mpya zitakazoanza kutekelezwa Julai, 2024…
Manyara kuchunguzwa ubadhilifu fedha za miradi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeielekeza Ofisi ya Rais – TAMISEMI kufanya, ufuatiliaji na uchunguzi wa fedha walizopeleka kutekeleza miradi katika mkoa wa Manyara hasa katika miradi ya…
Tanzania, Uholanzi, China kushirikiana mazao ya mbogamboga
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema Serikali ya Tanzania, China na Uholanzi zitaendelea kushirikiana kukiendeleza Kituo cha Taasisi ya Utafiti na Uendelezaji wa Mazao ya Mbogamboga Duniani cha World Vegetable Centre ili kukidhi mahitaji ya wakulima. Mweli…
Mchinjita Waziri Mkuu Kivuli ACT Wazalendo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amemteua Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho, Isihaka Mchinjita kuwa Waziri Mkuu Kivuli ACT Wazalendo. Uteuzi huo umejiri leo Machi 20, 2024 wakati Dorothy Semu…
Nchimbi: Watanzania wanajivunia miaka mitatu ya uwezo mkubwa wa Rais Samia
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia uwezo mkubwa wa kiuongozi, anaouonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka…