Year: 2024
Huduma upakuaji mafuta kuboreshwa bandarini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) itaendelea kuboresha huduma za upakuaji mafuta ili kupunguza muda wa meli kusubiri bandarini na hivyo kuboresha upatikanaji wa bidhaa hiyo kwa uhakika Akizungumza Oktoba 16,…
Watakiwa kufanya utafiti chanzo mimea vamizi Ngorongoro
na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Arusha WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana amekitaka Chuo cha Misitu Olmotonyi kilichopo jijini Arusha kufanya utafiti katika Hifadhi ya Ngorongoro kubaini chanzo cha mimea vamizi. Dk Chana ametoa agizo hilo leo Oktoba…
Onyo la Washngton kwa Israel latajwa kuwa na uzito tangu kuzuka kwa mapigano
Onyo la Washington limetajwa kuwa lenye uzito zaidi tangu kuzuka kwa mapigano kati ya Israeli na wapiganaji wa Hamas mwaka uliopita. Aidha onyo hilo pia limejiri baada ya Umoja wa Mataifa kufanya tathimini wikendi iliopita na kubaini kwamba hakuna misaada…
Rais Mwinyi aipongeza CRDB, ataka juhudi zaidi zichukuliwe watu wengi wawe na makazi bora
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi, ameipongeza Benki ya CRDB kwa mchango wake katika kutoa mikopo ya nyumba, huku akisisitiza juhudi zaidi zichukuliwe ili kuwawezesha watu…
Ulega: Serikali itaendelea kuunga mkono sekta ya Kuku
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema kuwa dhamira ya serikali ya awamu ya sita inaendelea kuunga mkono sekta ya Kuku kupitia miradi inayolenga vijana, ubunifu, na uendelevu. Ameyasema hayo wakati wa…
Naibu Waziri Mkuu Biteko azindua mkutano wa nishati wa Afrika
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri mkuu Dotto Biteko amezindua rasmi mkutano wa Afrika wa nishati. Mkutano huo umezinduliwa rasmi leo hii jumatano ya oktoba 16 katika ukumbi wa hoteli ya kempiski, Dar es salaam. Akizungumza hii…