JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Dk Biteko akutana na wazee, viongozi wa dini Bukombe

📌 Awashukuru kwa ushirikiano mkubwa wanaompatia 📌 Awaasa kukemea vitendo viovu katika jamii 📌 Wazee na Viongozi wa dini wampongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa dini kutoka madhehebu…