JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Watanzania jitokezeni kutoa maoni miswada ya sheria ya uchaguzi na vyama vya siasa – Dk Biteko

đź“Ś Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia đź“Ś Ataka Wananchi kuchagua viongozi bora katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbogwe, Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa…

‘Singida kugeuzwa ya kijani’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Shirika lisilo la kiserikali la HELVETAS – Tanzania limegawa bure miche 1,700 ya miti ya matunda kwa wakulima wa wilaya tatu za Mkoa wa Singida kama utekelezaji wa mradi wa mazingira wa UKIJANI unaolenga kuwawezesha…

TAWA: Aliyeuwa mamba alifuata sheria

MTANDAO: UCHUNGUZI unaonesha mwindaji raia wa Marekani, Josh Bowmer katika tukio la kuuwa mamba eneo la kitalu cha Lake Rukwa GR alifuata sheria kwa kuwa na kibali halali, ada na tozo zote za uwindaji alilipa na hakuna utaratibu uliokiukwa. Mamlaka…

Kiongozi wa upinzani aliyechomwa kisu shingoni Korea Kusini ahamishwa hospitali

KIONGOZI wa chama cha upinzani cha Democratic Party cha Korea Kusini, Lee Jae-myung amewahishwa hospitali mjini Seoul baada ya kuchomwa kisu shingoni na mtu asiyejulikana. Shambulio lilitokea wakati Lee alikuwa akikagua eneo lililopendekezwa kufanyika ujenzi wa uwanja wa ndege mpya…

Aliyemchoma visu mara 25 mkewe na kufariki na yeye afariki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Moshi Lucas Paul Tarimo, aliyekuwa akituhumiwa kumchoma visu mkewe mara 25 marehemu Beatrice Minja (45), mkazi wa kijiji cha Mbomai juu, Kata ya Tarakea mkoani Kilimanjaro, naye amefariki. Marehemu alikamatwa akiwa amejificha katika Kijiji cha Jema…