JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Maafisa aelimu watakiwa kuhakikisha miradi ya elimu inakamilika kwa wakati

Na. Asila Twaha, OR – TAMISEMI Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Bw. Adolf Ndunguru amewataka Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri kuhakikisha wanafuatilia miradi ya elimu na kuikamilisha ifikapo tarehe Januari 15, 2024….

Kapinga akutana na kampuni za ETDCO na TCPM

…………………………… Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga ameziagiza Kampuni za kutengeneza Nguzo za Zege Tanzania (TCPM) na Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO) kutekeleza kile walichokikusudia kwa maslahi mapana…

Pwani yatoa fedha na vifaa vya vyenye thamani ya milioni 107.2/- Hanang

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Hanang OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, ,wananchi na wadau Mkoani humo imetoa raslimali fedha na michango mbalimbali vyote vikiwa vimegharimu sh. milioni 107.2 kwa wakazi waliopata maafa ya mafuriko Hanang ,Desemba 3, 2023. Kati…

Pwani yalenga kuandikisha wanafunzi 51,446 darasa la kwanza, awali 55, 771

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakar Kunenge amefafanua kuwa, mkoa huo una malengo ya kuandikisha wanafunzi wa shule za awali  55,771 pamoja na wanafunzi 51,446 wa darasa la kwanza. Ameeeleza, hadi kufikia mwishoni mwa mwaka…