Year: 2024
Putin kuwashughulikia wahusika shambulizi lililouwa watu 115
RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amewatahadharisha wahusika wa shambulizi lililowaua watu zaidi ya 115 eneo la Crocus City Hall nchini humo kuwa atakumbana na adhabu kali. Akihutubia taifa hilo muda mchache uliopita, Putin amesisitiza kuanzia aliyewatuma hadi waliotekeleza uhalifu huo…
Benki Kuu kukabiliana na upungufu wa fedha za kigeni
Benki Kuu ya Tanzania imeendelea kushiriki kikamilifu katika Soko la Jumla la Fedha za Kigeni, kwa kuuza dola ya Marekani kwa benki za biashara ikiwa ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kupunguza uhaba wa fedha za kigeni nchini. Kwa mujibu…
JNIA wasisitiza umuhimu wa kufuatilia taarifa za hali ya hewa kuepuka madhara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Kituo Kituo Cha Hali ya Hewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) imeadhimisha siku ya Hali ya Hewa Duniani kwa kutoa elimu kwa wadau mbalimbali wa maendeleo, huku wakiitaka jamii…
Nchimbi afurahishwa na msimamo wa wana-CCM Pemba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pemba KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema anawaheshimu na kuwakubali wana CCM wa Pemba kwa misimamo yao thabiti katika kuilinda na kuitetea CCM bila kuyumba. Dk. Nchimbi pia amewapongeza kwa…
Chuo Kikuu Marekani champa udaktari wa heshima Dk. Rose Rwakatare
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani MWENYEKITI wa Wazazi Mkoa wa Morogoro (CCM), Dk. Rose Rwakatare ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (PhD) na Chuo Kikuu cha All Nations Christian Church International University kilichopo Texas Marekani (ANCCI) kutokana na mchango wake…
Rais Samia asikia kilio cha wachimbaji wadogo Songwe, leseni 37 zatolewa
Kunufaisha zaidi ya wachimbaji 5000 -Wamshukuru Rais Samia kwa kuwaendeleza wachimbaji wadogo _Waziri Mavunde awataka wachimbaji kuongeza uzalishaji baada ya kupata Leseni Kwa sasa wazalisha madini yenye thamani ya Bilioni 101 kwa miezi nane(8) Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Songwe Serikali ya…