Year: 2024
Tanzania yatajwa kuwa ni miongoni mwa nchi 30 yenye maambukidhi ya TB
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Jamhuri Wakat leo ni siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani, Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 30 zenye maambukizi makubwa ya ugonjwa ya ugonjwa huo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Health Promotion Tanzania(HDT), Dk…
Matinyi : Uchumi wa Tanzania umeimarika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Uchumi wa Tanzania umeendelea kuimarika kwa kukuwa kwa asilimia 5.2 kufuatia kuporomoka kutoka asilimia 7 hadi asilimia 4.2 mwaka 2020 ikiwa ni madhara ya mlipuko wa UVIKO-19 duniani, vita za Urusi dhidi ya…
ACT Wazalendo wataka mabadiliko ya sheria vyombo vya haki jinai
Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kupeleka bungeni muswada wa marekebisho ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuvifanyia mageuzi makubwa vyombo vya haki jinai na mfumo wa uchaguzi kwa ujumla wake. Akizungumza leo katika makao makuu ya…
Mradi kuwawezesha wanawake sekta uvuvi Afrika Mashariki wazinduliwa
Na Edward Kondela, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mradi wa kuwawezesha wanawake katika mnyororo wa thamani wa mazao ya uvuvi kwa nchi za Afrika Mashariki kupitia Ziwa Victoria umezinduliwa ili kumuwezesha mwanamke kuongeza kipato kupita kupitia mazao hayo. Akizungumza jijini Dar…
Hamas yasema waliokufa tangu kuanza kwa vita ni 32,142
Wizara ya afya ya Ukanda wa Gaza inayoongozwa na Hamas imesema leo Jumamosi kuwa takriban watu 32,142 wameuwawa huku wengine 74,412 wamejeruhiwa tangu kuanza kwa vita kati ya vikosi vya Israel na kundi la Hamas. Uharibifu unaotokana na mapigano yanayoendelea…
Waziri Mkuu afuturisha Ruangwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, akisalimiana na wananchi mbalimbali waliohudhuria Iftafri aliyoandaa Machi 22, 2024 Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi ikiwa ni sehemu ya kuonesha upendo na tukio la imani katika mwezi mtukufu wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mbunge wa…