Year: 2024
Mchechu achangisha milioni 117/- ujenzi wa Kanisa Naibili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro KIONGOZI anayejulikana kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya nyumba, benki, na biashara, Nehemiah Mchechu ameendesha harambe iliyowezesha kuchangisha Sh117.8 milioni kwaajili ya kuendeleza ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa…
Kongamano la kimataifa la vijana kuanza kesho Arusha
Na Zulfa Mfinanga, Jamhuri Media,Arusha. Mkutano wa nne wa Kimataifa wa Vijana na Utawala wa Ardhi barani Afrika (CIGOFA4) unatarajiwa kufanyika kwa siku nne kuanzia kesho jijini Arusha wenye lengo la kuharakisha haki za vijana katika ardhi. Mkutano huo ulioandaliwa…
Muigizaji Pembe afariki dunia
Na Isri Mohamed Muigizaji Mkongwe wa Vichekesho Nchini, Yusuph Kaimu maarufu kama Pembe Amefariki dunia Katika Hospitali ya Temeke Jijini Dar es Salaam, Jioni ya Leo Oktoba 20, 2024. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Katibu wa chama Cha Waigizaji…
Mtaalamu bingwa wa nyonga na magoti wa Uingereza atua Dar
Atashirikiana na wataalamu wa Mloganzila Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MTAALAMU bingwa wa upasuaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali ya Qeen Elizabeth ya Uingereza Profesa Mamoun AbdelGadir, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kambi ya…
Uwekezaji wa bilioni 429.1/- waimarisha utendaji bandari ya Tanga
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga UTENDAJI wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa Serikali wa Shilingi Bilioni 429.1. Bandari ya Tanga ilijengwa kwa mara ya kwanza mwaka 1914 ili kukidhi mahitaji…
TLS tutashirikiana na Serikali, harakati zikae pembeni – Boniface Mwambukusi
Kauli ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, inayoeleza umuhimu wa ushirikiano na serikali katika utoaji wa huduma za msaada wa kisheria, inathibitisha nafasi kubwa ya serikali katika kuhakikisha haki inafikiwa na raia wote. Serikali, chini ya…