Year: 2024
Matinyi : Anga, barabara vyaimarishwa kuchochea uchumi
Na Lilian Lundo – Maelezo Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuliimarisha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kuwekeza zaidi ikiwemo kununua ndege ili kulifanya limudu kutoa huduma na kuchochea ukuaji wa sekta zingine za kiuchumi. Mkurugenzi wa Idara ya…
ACT-Wazalendo yataka NEC ijiuzulu
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ijiuzulu yote kupisha kuundwa kwa Tume Mpya itakayopatikana kwa utaratibu wa ushindani. Aidha chama hicho kimetaka Mapendekezo yaliyoainishwa na Tume ya Haki…
Shaka atoa siku tano kupata majibu ujenzi ICU chini ya kiwango
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilosa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, ameagiza kufanyika kwa uchunguzi wa mradi wa ujenzi wa Jengo la Wagonjwa Mahututi (ICU) katika hospitali ya wilaya hiyo lililogharimu Sh. milioni 278 ambalo ujenzi…
Serikali ya Awamu ya Sita yaendelea kufanya vizuri ukusanyaji mapato
Na Lilian Lundo – Maelezo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato…
Waongoza utalii wachachamaa, watoa saba, wamuomba Rais Samia aingilie kati
Waongoza utalii Mkoa wa Arusha,wametoa siku saba kwa rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kuzipatia ufumbuzi changamoto zinazowakabili ili kufikia malengo ya Serikali iliyojiwekea katika sekta ya utalii. Akiongea kwenye mkutano wa pamoja uliokutanisha vyama mbalimbali vya waongoza…
TPA yatoa ufafanuzi ajira DP World
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imesema kuwa imewapa watumishi wake nafasi ya kuchagua ama kubaki TPA au kusitisha mkataba wa ajira na TPA na kuajiriwa na Kampuni ya DP World ya Dubai. TPA imesema hayo katika taarifa yake…