JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Makamu wa Pili wa Rais amewataka wananchi kuyalinda na kuyaenzi Mapinduzi Matukufu Z’Bar

Makamu wa Pili wa Rais Hemed Suleiman Abdullah amewataka wananchi kuendelea kuyalinda na kuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa Kuunga Mkono jitihada za Serikali katika kuleta Maendeleo Nchini. Hemed ameyasema hayo katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi Skuli…

Hospitali ya Temeke kuboresha miundombinu yake

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke inapanga kufanya maboresho makubwa ya miundombinu kwa kurekebisha jengo la bima na kujenga gorofa nne hadi sita. Lengo ni kuboresha huduma kwa wananchi. Hatua hii imethibitishwa katika kikao kazi cha timu ya uendeshaji kilichofanyika…

Rais Dk Mwinyi aifungua bandari ya makontena Fumba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea na hatua za kuimarisha sekta ya bandari kwa ujenzi wa maeneo mbalimbali ikiwemo ujenzi wa bandari jumuishi Mangapwani, bandari ya Shumba na Mkoani ili kuleta…

RC Kunenge akagua mahudhurio kidato cha kwanza na darasa la kwanza Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha HALI ya mahudhurio kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza na darasa la kwanza mkoani Pwani ni nzuri na inaridhisha ikiwa ni siku ya kwanza Januari 8 mwaka huu wakiripoti mashuleni. Mkuu wa mkoa wa Pwani,Abubakar…

Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Biteko afungua jengo la ofisi Mamlaka ya Maji Zanzibar

Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar, šŸ“ŒAwapongeza Rais Dkt. Samia na Dkt. Mwinyi kwa maono na miongozo yao kutekeleza Miradi ya kimkakati šŸ“ŒAipongeza Wizara ya Maji, Nishati na Madini kupitia ZAWA kwa kukamilisha Jengo lenye ubora na hadhi…

Mbunge Cherehani : Tumuombee Rais Samia akamilishe miradi ya maendeleo

Na Samuel Mmbanga, JamhuriMedia, Ushetu – Kahama Watanzania wamehamasishwa kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ili aweze kutekeleza na kukamilisha miradi ya maendeleo anayotekeleza. Rai hiyo imetolewa leo Januari 7 na Mbunge wa…