JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Kipindupindu chaingia Chato, mmoja abainika, Serikali yatoa elimu

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato WAKATI Serikali ikiendelea kutoa tahadhali ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha pamoja na kuimalisha usafi wa mazingira nchini, mwanamke mmoja wilayani Chato mkoani Geita ameripotiwa kupatikana na ugonjwa wa kipindupindu. Mgonjwa huyo (jina limehifadhiwa) ni wa…

Ummy: Asilimia 60 ya wananchi wanapata huduma za afya ndani ya Km 5

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya katika Kipindi cha mwaka 2023 imejitahidi kwa kusogeza huduma kwa wananchi kwani asilimia 60 ya wananchi wanapata huduma ndani ya kilometa 5 hivyo mwaka 2023 vituo vya afya…

Watu 38 wamekufa kwa ajali za moto 2,076 katika kipindi cha mwaka jana nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linatoa pongezi na shukurani kwa vyombo vyote vya habari na wanahabari kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuhabarisha umma juu ya huduma zinazotolewa na jeshi hilo hapa nchini kwa kipindo cha…

Mbwa anayefugwa kwa ulinzi aishambulia familia na kusababisha madhara

Usiku wa kuamkia Januari 8, 2024 majira ya saa nne usiku familia ya Nicholaus Kunju ilishambuliwa na mbwa na kuisababishia madhara kwenye sehemu mbalimbali za miili yao. Kwa mujibu wa mtoa taarifa walioshambuliwa ni mke wake pamoja na watoto. Tukio…

Ulega amsimamisha kazi Afisa Mfawidhi Kigoma

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Agnes Meena kumsimamisha kazi Afisa Mfawidhi anayeshughulikia ubora wa samaki kituo cha Kigoma, Bw. Frank Kabitina kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma. Waziri…

Dk Biteko ashuhudia utiaji saini mikataba miwili ya kihistoria ya gesi asilia

๐Ÿ“Œ Ni wa mauziano ya Gesi Asilia na ujenzi wa miundombinu midogo ya LNG ๐Ÿ“Œ Kuwezesha upatikanaji wa Gesi Asilia katika maeneo yote nchini ๐Ÿ“Œ Asema Rais, Dkt. Samia anafuatilia kwa karibu miradi ya Nishati ๐Ÿ“Œ Nchi kuwa na nishati…