Year: 2024
Tanzania yapandishwa uwezo wake wa kukopa kimataifa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Tanzania imepandishwa kwenye orodha ya kimataifa ya viwango vya nchi vya kukopa kutokana na kuimarika kwa uchumi wake ndani ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Hii ni kwa mujibu wa shirika la kimataifa…
Serikali yazindua Mpango Mkakati wa wadau wa elimu mkoa wa Dodoma
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Kassim Majaliwa amezindua Mpango mkakati wa wadau wa elimu mkoa wa Dodoma huku akitoa maagizo mbalimbali ikiwemo kuwataka Wakuu wa Wilaya nchini kuhakikisha wanawafuatilia Wanafunzi ambao hawajaripoti Shuleni kwa…
Malawi yatangaza ukame kuwa janga la kitaifa
Malawi imetangaza kuwa janga la kitaifa hali ya ukame inayokumba sehemu kubwa ya nchi hiyo. Tangazo hilo linakuja chini ya mwezi mmoja baada ya taifa jirani la Zambia kuchukua hatua kama hiyo. Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ameomba zaidi ya…
DAWASA yaendelea utoaji vifaa vya maunganisho Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la utoaji wa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya majisafi kwa wakazi wote wa maeneo ya Kiharaka, Kiembeni,…
TRA yatoa elimu ya mlipa kodi kwa waendesha bajaji, bodaboda
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imesema kuwa itaendelea kujenga mahusiano mazuri na waendesha bajaji na pikipiki maarufu kama bodaboda pamoja na kushiriana nao kwani kazi hiyo ni kama kazi zingine. Hayo yameelezwa leo Machi 25, 2024 na…