JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Rais Dk Mwinyi atunuku nishani 17

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewatunuku Nishani watunukiwa 17 kati ya hao wanne washafariki na 13 wapo hai viongozi mbalimbali, askari na wananchi katika sherehe za kutunuku Nishani ya Mapinduzi, Utumishi uliotukuka, Utumishi…

RC Mtaka amshukuru Rais Samia kwa kutoa mbegu ya ngano Makete, Ludewa zaidi ya tani 950.

Na Chrispin Kalinga, JamhuriMedia, Njombe Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ameongoza mkutano wa pareto na mdau mkuu wa PCT uliofanyika Halmashauri ya Wilaya ya Makete. Mkutano huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa wilaya ya hiyo wakiwemo Wakurugenzi wa…

Watoto watatu wa famili mbili wafariki kwa kudondokewa na ukuta Shinyanga

Na Suzy Butondo, Jamhuri Media, Shinyanga Watoto watatu wa familia mbili tofauti wamefariki dunia katika kijiji cha Zongomela kata ya Zongomela katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga baada ya kuangukiwa na kuta za nyumba waliyokuwemo kutokana na mvua zilizokuwa ziendelea…

Chalamila akabidhi wabunge 10 vifaa tiba vya mil.691/- vilivyotolewa na Serikali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewakabidhi wabunge wa majimbo 10 ya Mkoa wa Dar es Salaam vifaa tiba vya gharama ya shilingi Milioni 691 vilivyotolewa na serikali kwa ajili…

TANESCO: Upatikanaji umeme Mtwara, Lindi kuwa wa historia

Na Cresensia Kapinga , JamhuriMedia, Tunduru Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamhanga amesema kuwa tayari wamemaliza kufunga  mitambo ya kupooza umeme  kama sehemu ya kuboresha umeme katika maeneo ya mikoa ya Mtwara na Lindi ambayo umeme…