JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wahitimu DMI waaswa kuzingatia uzalendo kwa manufaa ya taifa

Na Lookman Miraji Wahitimu wa chuo cha bahari cha Dar es salaam (DMI) wameaswa juu ya kuweka mbele suala la uzalendo katika fani hiyo kwa manufaa ya taifa. Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa uchukuzi , David Kihenzile katika…

Watumishi REA watakiwa kufanyakazi kuendana na kasi ya Serikali

đź“ŚAsisitiza kuongeza ubunifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma đź“ŚAwataka kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa maadili đź“ŚWizara ya Nishati yaipongeza REA kwa utekelezaji wa miradi Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu, ubunifu,…

Kiwanja cha ndege Mafia kufanyiwa maboresho ili kuongeza utalii na uwekezaji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Kiwanja cha ndege wilayani Mafia, mkoani Pwani, kinatarajia kufanyiwa maboresho kwa kujengwa jengo jipya la abiria na kusimikwa taa kwenye njia za kutua na kuruka ndege. Maboresho haya yanalenga kurahisisha usafiri wa anga, hususan nyakati…

Sisiwaya awaonya madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani nchini

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka madereva Nchini wameaswa kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuondokana na ajali zisizo za lazima. Hayo yamesemwa na mkuu wa operesheni wa Kikosi cha usalama barabarani Tanzania, Kamishina Msaidizi…

Serikali yaibariki timu ya Taifa kuogelea kuelekea mashindano ya dunia

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Baraza la michezo la taifa imetoa baraka zake kwa timu ya taifa ya mchezo wa kuogelea inayotarajia kwenda kushiriki mashindano ya dunia yanayotarajiwa kuanza hivi…

Tamasha la Utalii siku tatuA (Mafia Idland Festival) lafunguliwa leo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Tamasha la Utalii lijulikanalo kama “Mafia Island Festival” limefunguliwa rasmi leo Desemba 6, 2024 na mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Rashid Mchatta ambaye ni mgeni rasmi wa Tamasha hilo litakalodumu kwa siku tatu….