JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Utekelezaji wa ufugaji samaki kwa vizimba waanza ziwa Tanganyika

Na Edward Kondela, JamhuriMedia, Rukwa Serikali imeanza utekelezaji wa ufugaji samaki kwa njia ya vizimba katika Ziwa Tanganyika baada ya mpango huo kuonesha mafanikio makubwa katika Ziwa Victoria. Akizungumza Januari 11, 2024 katika Mwalo wa Kasanga uliopo Wilaya ya Kalambo…

Meneja TANROAD Ruvuma afariki ghafla wakati akishiriki mbio za Km 5

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROAD) Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Mlima Ngaile amefariki dunia leo asubuhi wakati akishiriki mbio za Wiloles Foundation Marathon 2024 yenye lengo la kuchangia matibabu ya watoto waliozaliwa kabla ya muda…

DC Katwale, Watetezi wa Mama wakumbuka wafungwa Gereza la Chato

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato MKUU wa Wilaya ya Chato mkoani Geita kwa kushirikiana na Taasisi ya Mtetezi wa Mama wilaya hiyo,wametembelea gereza na kutoa msaada wa sabuni,mafuta na taulo za kike kwa wafungwa na mahabusu waliopo kwenye gereza la…

Migogoro ya ardhi Dodoma yampeleka Naibu Waziri Pinda uwandani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda ameingia uwandani kutatua na kufuatilia utekelezaji wa maagizo yake ya migogoro ya ardhi katika jiji la Dodoma. Mhe Pinda katika ziara yake hiyo…

Tumieni umeme wa REA kujiletea maendeleo si kuwasha taa tu – Mbunge Cherehani

Na Mathias Canal, JamhuriMedia Ushetu-Kahama Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emannuel Cherehani amewataka wananchi kutumia uwepo wa umeme wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kujiletea maendeleo ya kiuchumi. MlMbunge Cherehani ameyasema hayo Januari 11 wakati akizungumza na wananchi katika Kijiji…