JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mwalimu,mwanafunzi washambuliwa na kuuawa wakiwa nyumbani kwao Mbeya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya MWALIMU wa Shule ya Msingi Mbugani Wilayani Chunya aitwaye,Herieth Lupembe (37) na mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Isenyela, Ivin Tatizo (15) wameuwawa na vitu butu kichwani wakiwa nyumbani kwao Kijiji cha…

Naibu Waziri Mkuu akagua matengenezo ya mashine za kufua umeme Kidatu

📌Ni kufuatia hitilafu ya umeme kwenye mfumo wa Gridi 📌Aigaza TANESCO kutafuta mwarobaini wa tatizo la kufeli kwa Gridi mara kwa mara 📌Awataka kufanya ukarabati wa vituo vya kufua umeme, ili kuvipa ufanisi 📌Awatahadharisha juu ya uwepo wa mvua nyingi…

Tanzania, Burundi zasaini hati za makubaliano ya ushirikiano sekta ya madini

Bujumbura, Burundi Mawaziri wa Sekta ya Madini wa Burundi Mh. Eng. Ibrahim Uwizeye na Tanzania Mh. Anthony Mavunde leo wamesaini hati ya makubaliano ya kushirikiana kwenye sekta ya madini ili kukuza mchango wa sekta hii katika uchumi wa nchi mbili…

Taifa Gas yajidhatiti kufikisha huduma ya gesi kwa gharama nafuu

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati serikali ikiendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited imesema imejidhatiti kuweza kufikisha huduma ya gesi nchi nzima kwa gharama nafuu. Hayo yamebainishwa jijini Dar es…

Polisi kuimarisha usalama uzinduzi wa mbio za mwenge Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Jeshi la Polisi-Kilimanjaro Jeshi la Polisi nchini limesema limejipanga vyema kuimarisha uzinduzi wa mbio za Mwenge ambazo zinazonduliwa Aprili 2,2024 mkoani Kilimanjaro. Hayo yamebainishwa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi CP Awadhi…