JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Dk Feleshi : Mawakili wa Serikali kila mmoja atimize wajibu wake

Na Mwamvua Mwinyi, jamhuriMedia, Pwani MWANASHERIA Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi ametoa rai kwa mawakili wa Serikali , kila mmoja kutimiza wajibu wake na kufuata maadili na miiko kwenye majukumu yao. Aidha amewaasa kuwa waadilifu na kutenda…

Bilioni moja zatumika miradi ya ujirani mwema

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mara Wananchi wanaoishi jirani na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (Senapa) wamelipongeza Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) kwa kufanikiwa kusimamia kiadilifu miradi ya maendeleo yenye thamani ya Sh 1,034,750,990. Wakizungumza na JAMHURI Digital kwa nyakati…

Tanzania yapokea meli kubwa ikiwa na watalii zaidi ya 2000 kutoka nchini Norway

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Meli ya watalii ya Norwegian, inayomilikiwa na kampuni ya Norwegian Cruiseline Holdings ya Marekani, kutoka nchini Norway yenye urefu wa mita 294 imewasili katika bandari ya Dar es Salaam ikiwa na jumla ya…

Waziri Mkuu aongoza kikao cha 10 cha Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip, Uwanja wa Ndege Zanzibar, jana Januari 15,…

Naibu Waziri wa Uchukuzi Kihenzile atembelea banda la TPA

Banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA limeendelea kuwa kivutio kwa watembeleaji wa maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Zanzibar yanayoelekea ukingoni. Mbali na unadhifu wa Banda linalopambwa na picha kubwa za Bandari mbalimbali, kivutio kingine ni mifano…